Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
 • Mwl. Julius K. Nyerere
 • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kulipa
OFISI INAYOHUSIKA
Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 
 • LIPA ADA YA MAOMBI YA MKOPO INAYOTAKIWA  kwa njia ya M-pesa kwa kufanya yafuatayo:

  1. Piga *150*00# kutoka kwa namba ya Vodacom iliyosajiliwa;
  2. Chagua huduma 4 inayoonyesha :Lipa kwa M-PESA”
  3. Halafu chagua huduma ya 3 CHAGUA AINA YA BIASHARA UNAYOLIPA;
  4. Ingiza 8 kwa Huduma za Elimu
  5. Ingiza 2 kwa HESLB;
  6. Ingiza 1 kwa HESLB namba ya kumbukumbu
  7. Weka namba ya kumbukumbu ya malipo. Hii ni namba iliyokwisha pangwa yenye tarakimu 15 ya namba  yako ya Kidato cha Nne na mwaka uliomaliza, k.m. S0143.0012.2009; kwa waombaji wa nchi za nje wasiokuwa wa NECTA andika namba yako kama inavyoonekana kwenye cheti chako

                       

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 28-01-2016
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page