Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kukodi
OFISI INAYOHUSIKA
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Wizara ya Ardhi inaendelea kuwakumbusha wale wote wanao miliki viwanja na mashamba yaliyopimwa, ambao bado hawajalipa Kodi ya Pango la Ardhi, wahusike kufanya malipo hayo kabla ya mwisho wa mwezi wa sita (6), kwani Ifikapo tarehe 30/06 hatua zifuatazo zifuatazo zitchukuliwa dhidi yao; Watashitakiwa Mahakamani, Mali zao zitakamatwa na majengo yao kupigwa mnada kwa kupitia madalali na Miliki zao zitafutwa.

Bofya hapa kuingia kwenye mfumo

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 02-06-2017
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page