Sehemu hii inakupa taarifa na anuani muhimu kwa ajili ya kupata taarifa mbali mbali za Serikali. Hata hivyo, orodha itaendelea kuboroshwa mara kwa mara kwa ajili ya kuwawezesha wananchi na washikadau wengine kuwasiliana na/au kujipatia huduma za Serikali. Tafadhali endelea kututembelea mara kwa mara kwa taarifa zaidi.