HOTUBA YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI,
MHE. OMAR
RAMADHAN MAPURI (MB) KUMKARIBISHA
RAIS WA
WA JESHI LA POLISI NCHINI KWENYE UKUMBI WA MIKUTANO WA
KIMATAIFA ARUSHA TAREHE
15 DESEMBA, 2003
·
Mheshimiwa Amani Abeid
Karume, Rais wa
·
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Mohammed Babu
·
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali Omari Mahita
·
Makamishna wa Jeshi
la Polisi
·
Naibu Makamishna wa Jeshi la Polisi
·
Makamanda wa Jeshi
la Polisi wa Mkoa na Vikosi
·
Viongozi mbali wa
Serikali Mkoani Arusha
·
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Arusha
·
Wakuu wa Madhehebu mbalimbali ya dini
Mkoani Arusha
·
Wageni Waalikwa
·
Mabibi na Mabwana
Mheshimiwa Rais
Kazi yangu asubuhi hii ni kukukaribisha rasmi kutufungulia mkutano wa mwaka
wa Maafisa Wakuu wa Jeshi
la Polisi nchini, unaofanyika hapa mjini Arusha. Lakini kabla sijafanya
hivyo napenda kuchukua fursa hii kwa niaba ya Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi
kutoa shukrani zetu nyingi za
dhati kwako kwa kukubali kuja
Mkoani Arusha kutufungulia mkutano huu.
Mheshimiwa Rais
Jana tarehe
Mheshimiwa Rais
Mambo mengi
kuhusu Jeshi la Polisi, yakiwemo mafanikio na
matatizo umeshaelezwa kwa kirefu na
ufasaha na Inspekta Jenerali wa Polisi. Sitapenda kukuchosha kwa
kurudia kusisitiza hayo. Hata hivyo, napenda
kuchukua fursa hii kuishukuru Serikali ya Awamu
ya tatu ya
CCM kwa kutekeleza
kikamilifu ilani yake iliyouza kwa
wananchi mwaka 2000 kuhusu vyombo vya
ulinzi na usalama likiwemo Jeshi la Polisi.
Mheshimiwa Rais