Mawasiliano

Mawasiliano ni sekta iliyo na dhima kubwa katika maendeleo ya jamii na uchumi Tanzania. Utendaji wa sekta umeendelea kukua kutokana na juhudi za uwekezaji wa Serikali na sekta binafsi kwenye kukarabati barabara, kupanua huduma za simu, kuweka vifaa vya kisasa katika viwanja vya ndege , na kuboresha huduma za usafiri majini, reli na angani. 
Huduma za simu 

Mawasiliano ya simu yanapatikana sehemu nyingi nchini na yameuganishwa na nchi nyingine duniani kupitia Dar es salaam. Huduma za simu zimeendelea kuboreka kutokana na juhudi za Kampuni ya Simu Tanzania, na ushiriki wa makampuni binafsi, zikiwemo MOBITEL, TRITEL, ZANTEL na VODACOM. Namna nyingine za mawasiliano zimewekwa na kuendelezwa, hasa FAX ambazo zinahitajiwa zaidi kuliko huduma za Telex.

Title

.

Title

.

Title

.