THE
UNITED

PRESS
SECRETARY TO THE PRESIDENT
Fax. No. 255-22 2113425 The State
House,
Tel:
E-mail:
press@ikulu.go.tz DAR ES SALAAM.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Waziri Mkuu wa
Pamoja na kutoa mkopo huo,
Pamoja na kutoa fedha hizo
Uamuzi wa
Waziri Mkuu
huyo alikuwa nchini kwa
ziara ya kikazi ya siku
mbili kwa mwaliko wa Rais
Kikwete; anaondoka leo.
Katika mazungumzo
hayo, Waziri Mkuu huyo Wen
Jiabao alisema kuwa
Pamoja na kujenga kituo hicho,
Aidha kwa mujibu wa Waziri Mkuu
huyu,
Waziri Mkuu wa
Makubaliano ya mikopo
hiyo yalitiwa saini na Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Asha-Rose Migiro kwa
upande wa
Akizungumza kuhusu
ujenzi wa uwanja wa Taifa, Waziri Mkuu huyo alibainisha
kuwa mradi wa ujenzi wa
uwanja huo ambao kwa asilimia
kubwa umegharamiwa na China, kwamba ni mradi mkubwa
wa pilina wa aina yake
baada ya TAZARA kwa nchi yake
kufadhili.
Alisema kukamilika
kwa uwanja huo kutazidi kuimarisha
na kuweka kumbukumbu imara ya uhusiano wa
kihistoria kati ya nchi hizo
mbili.
Aidha Waziri
Mkuu huyo wa
Akizungumza kuhusu
ombi lilitolewa na Rais Jakaya
Kikwete kuhusu nchi hizo mbili
kuangalia uwezekano wa kushirikiana na kuona namna
wanaweza kujenga hospitali kwa ajili ya kutibu
magonjwa ya moyo alishauri kuwa majadiliano yafanyike kati ya pande hizo
mbili.
Wakati wa mazungumzo hayo, Rais alisema
Watanzania wengi wamekuwa wakipoteza maisha
Rais Kikwete
alisema, serikali pia imekuwa ikitumia
fedha nyingi kuwapeleka watu wenye matatizo ya moyo nchini
za nje kwa
matibabu, kwa ukosefu wa vifaa
inawa wataalam wapo..
Aidha Waziri Mkuu huyo alisema
Alisema pia serikali
yake inaendelea kuwashawishi watalii wengi kuja kutembelea
Aliongeza kuwa
atawahimiza wawekezaji zaidi kuja kuwekeza
nchini na
akatoa changamoto kwa Watanzania kutengeneza bidhaa zenye ubora ili
ziweze kuingia katika soko la
Waziri Mkuu wa
Kwa upande
wake Rais Kikwete alimshukuru Waziri Mkuu huyo kwa kuitembelea
Rais alisema
kuwa
Katika mazungumzo
hayo, Rais alieleza changamoto mbalimbali ambazo serikali
yake imekuwa ikikabiliana nayo.
Wakati huo huo,
Serikali hiyo ya
Aidha Zanzibar na
Hati ya pili
inahusu Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupatiwa mtambo wa kati ya
kurushia matangazo
kilowatts 50, channel ya kupokelea
matangazo ya CCTV-9 na kituo cha Radio.
Utiaji saini huo ulifanywa na Waziri wa Fedha na
Uchumi wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar, Mhe. Mwinyihaji Makame na
Waziri wa Biashara wa China Mhe. Bo. Xilai.
Mwisho
Ikulu