PRESS SECRETARY TO THE
PRESIDENT
Fax. No. 255-22 2113425 The State House,
Tel:
DAR ES SALAAM.
E-mail: press@ikulu.go.tz
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI SASA KUWA NA MAHAKAMA YA
RUFAA
Na Maura Mwingira
15/12/2006
Jumuia ya Afrika ya
Mashariki sasa itakuwa na Mahakama
ya Rufaa, kufuatia viongozi wa Jumuia hiyo
hapo jana (Alhamisi) kutia saini na kuridhia
marekebisho katika Katiba
ya Jumuia hiyo.
Marais
Jakaya Kikwete, Mwai Kibaki na
Yoweri Museveni walisaini marekebisho ya katiba hiyo wakati wa kikao kidogo
(mini summit) cha viongozi
hao kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano
wa jengo la Umoja wa Mataifa,
hapa
Viongozi hao walikuwa jijini
Pamoja na kuridhia kuundwa
kwa Mahakama ya Rufaa, viongozi
hao pia wametia
saini marekebisho ya katiba hiyo
ya EAC ambapo sasa kutakuwa na
kipengele kitakachowapa mamlaka viongozi wa jumuia hiyo
kuwachakulia hatua za kidhamu majaji
wa mahakama za Jumuia hiyo.
Marekebisho ya katiba ya Jumuia
ya Afrika Mashariki, kunafuatia maagizo yaliyotolewa na viongozi hao kupitia
tamko lao la pamoja lililotolewa mara baada ya
mkutano wa nane wa kilele
wa EAC uliofanyika Arusha,
Tanzania Novemba
30 mwaka huu.
Novemba
27, siku mbili kabla ya kufanyika
kwa mkutano wa kilele majaji
wa mahakama ya EAC walitoa hukumu kupinga uteuzi wa wabunge
kutoka nchi
Uamuzi huo ulileta sitofahamu
na kusababisha wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoapishwa hadi sasa.
Utiaji saini wa mabadiliko
ya katiba ya EAC
ulishuhudiwa pia
na Mawaziri wa Mambo ya Nje
wa
Mwisho