PRESS
SECRETARY TO THE PRESIDENT
Fax. No. 255-22 2113425 The State House,
Tel:
DAR ES SALAAM.
E-mail: press@ikulu.go.tz
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Jakaya Kikwete amelitaka
shirika la ndege la
Pamoja na kulitaka shirika
Ameyasema hayo leo wakati alipokutana na Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Shirika hilo na ndege, Bw. Akbar Al Baker, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais amesema amefurahishwa na uamuzi wa shirika hilo kuichagua Tanzania kuwa moja ya kituo chake cha utoaji wa huduma hiyo ya usafiri wa anga.
Alisema kwa Qatar airways kuanzisha safari za moja kwa moja kuja nchini Tanzania, kutaongeza idadi ya watalii wanaokuja nchini kutokana na kuwapo kwa usafiri wa uhakika na wa moja kwa moja.
Hata hivyo Rais alisema kuwa uhaba wa hoteli za kitalii unakwamisha shughuli zima za utalii, kwa kile alichosema hivi sasa kuna vitanda vipatavyo 957 tu katika hoteli zote za kitalii ambavyo haviendani na wingi wa watalii wanaokuja kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii hapa nchini.
Alisema idadi ya watalii inatarajiwa
kuongezeka maradufu na hasa baada ya
Serengeti kutangazwa
Aidha Rais Kikwete alimtaka Mwenyekiti na mtendaji wa Qatar Airways, kuangalia pia uwezekano wa kuanzisha safari za moja kwa moja kupitia Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro na vilevile kuangalia uwezekano wa kusafirisha maua yanazozalishwa katika mikoa ya Arusha na kuuzwa Ulaya.
Alisema kuwa hivi sasa
wafanyabiashara wa
Kwa upande wake, Mwenyekiti huyo
wa Qatar Airways, alisema moja ya kazi
kubwa ambayo shirika
Bw. Akbar Al Baker alisema kwa kuanzia wamekuja na kundi la waandishi wa habari ambao leo wamekwenda Serengeti kujionea na kuchukua habari mbalimbali zinazohusu vivutio vya utalii na kwenda kuvitangaza.
Alieleza kuwa shirika
Aliongeza kuwa shirika
Alisema kuwa akirejea kwao Doha, atazungumza na Kiongozi wa nchi hiyo, ili kuangalia uwezekano wa kuja nchini na kuwekeza katika ujenzi wa hoteli za kisasa za kitalii ili kukidhi mahitaji ya watalii yanayoongezeka kila mwaka.
Kuhusu kupeleka ndege katika uwanja wa KIA, Bw. Baker alisema shirika hilo litafanya utafiti wa kuanzisha safari hizo na vilevile kuangalia uwezekano wa kusafirisha maua kwenda nchi za ulaya.
Akielezea utendaji kazi wa shirika lake, Bw. Baker alisema Shirika hilo linasafirisha abiria milioni nane na nusu kwa mwaka na linatarajiwa kufikisha milioni 10 mwakani. Qatar Airways inatoa huduma ya usafiri wa anga katika nchi za kimataifa 70.
Qatar Airways ilianzishwa
mwaka 1993 na ni moja ya mashirika ambayo yanainukia kwa kasi
kibiashara. Aidha Shirika
Wakati huo huo, Rais Jakaya Kikwete
leo ameagana na Balozi wa
Katika mazungumzo hayo. Rais alimshukuru na kumpogeza Balozi huyo kwa kazi kubwa na nzuri ya uwakilishi aliyoifanya akiwa hapa nchini.
Alisema kuwa katika kupindi hicho
cha uwakilishi wake, uhusiano na ushirikiano kati ya
Naye Balozi Chipo Zindoga alitoa shukrani zake kwa Rais Jakaya Kikwete , serikali na Watanzania kwa ushirikiano mkubwa waliompatia pamoja na upendo waliomuonyesha.
Alisema kuwa ushirikiano huo, ulimpatia fursa ya kuelezea kwa kina, kwa uwazi na kwa ufasaha yale yaliyokuwa yakijitokeza nchini mwake, lakini pia ulitoa fursa nzuri ya kuendelea ushirikiano mzuri uliopo kati ya mataifa hayo mawili.
Mwisho
Ikulu
10/01/2007