DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR ES
SALAAM. Tanzania.
|
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo (Jumanne,
Februari 5, 2008) amepokea hati za utambulisho
za mabalozi wawili wapya ambao
wataziwakilisha nchi zao katika
Katika sherehe fupi
zilizofanyika Ikulu,
Pia Rais Kikwete
amepokea hati za utambulisho wa balozi
mpya wa Uswisi
nchini, Mheshimiwa Adrian Schlaepfer.
Katika mazungumzo mafupi baada ya
kuwasilisha hati zake, Balozi huyo
mpya ambaye ni mtaalam
wa jeshi na veterani wa
vita vya ukombozi, alimweleza Rais Kikwete jinsi
“Bila mchango mkubwa wa
Balozi huyo
pia amemweleza Rais Kikwete kuhusu
maandalizi ya Uchaguzi Mkuu uliopangwa
kufanyika nchini humo mwezi ujao.
Pia Balozi amempongeza
Rais Kikwete kwa kuchaguliwa
kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa
Afrika (AU).
“Afrika ina changamoto nyingi; vita, ukame, magonjwa na kila
aina ya migogoro
ya kisiasa na hata kijeshi
katika
Katika mazungumzo mafupi na
Balozi Schlaepfer, Rais Kikwete amemshukuru
nchi ya Uswisi
kwa misaada yake kwa
Rais amesema
kuwa misaada hiyo, imechangia mno maendeleo ya
Rais Kikwete pia
ametumia nafasi hiyo kumwelezea balozi huyo mpya
kuhusu hatua zinazochukuliwa na
Serikali juu ya malipo ya
fedha za kigeni ya EPA katika
Benki Kuu ya Tanzania (BOT).
Rais amemweleza balozi huyo mpya
jinsi uchunguzi wa kubaini
makosa ya jinai unavyoendelea kufanyika katika suala
MWISHO.
MAWASILIANO
IKULU,
05/02/2008