DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM. Tanzania.
|
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete leo (Jumanne,
Februari 5, 2008) amekutana
na kufanya mazungumzo na Mpatanishi
wa mgogoro wa
Katika mazungumzo
hayo yaliyofanyika Ikulu,
Waziri Nqakula alimweleza Rais kuwa mazungumzo hayo yanaendelea vizuri na kuna dalili kuwa yanaweza kufikia mwisho wake katika wiki chache zijazo.
Naye Rais Kikwete alimshukuru Waziri Nqakula kwa kazi nzuri na kubwa ambayo waziri huyo ameifanya katika kufanikisha mazungumzo hayo.
“
Mazungumzo hayo yalihudhuriwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Camilius Membe.
Mwisho.
Kurugenzi ya Mawasiliano,
Ikulu,
05/02/2008