DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX
9120, DAR ES
SALAAM. Tanzania.
|
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete leo
(Jumatano, Februari 6, 2008)
amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa
Jamhuri ya Saharawi katika
Balozi Abdallahi alikuwa anamwaga Rais Kikwete baada
ya balozi huyo kuwa amemaliza
muda wake wa
utumishi wa nchi yake katika
Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam, Rais Kikwete alimwakikishia balozi huyo kuwa
kamwe Tanzania haiwezi kusahau mapambano ya wananchi wa
Saharawi katika kutafuta haki yao
ya kuwa huru.
Amesema kuwa
Naye Balozi Abdallahi,
mbali na
kumpongeza Rais Kikwete kwa kuchaguliwa
kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa
Afrika (AU) alimwambia pia kuwa binafsi
anasikitika kuondoka
Balozi Abdallahi alimweleza Rais Kikwete kuhusu mchakato wa
mazungumzo kati ya Saharawi na
nchi ya
MWISHO.
Kurugenzi ya Mawasiliano,
Ikulu.
06/02/2008