UNITED
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120,
DAR
ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
RAIS Jakaya
Mrisho Kikwete ameiomba
Rais Kikwete
amesema kuwa ni muhimu
kuimarisha sekta ya kilimo nchini
kwa kuianzishia sekta hiyo benki,
kwa sababu kilimo bora ndicho
kitawatoa Watanzania wengi zaidi katika
umasikini na kwa haraka zaidi.
“Kilimo
ndicho kitatusaidia kusonga mbele haraka. Tunahitaji
mikopo kwa
wakulima wetu. Tunawaombeni mwangalie uwezekano wa
Balozi Xinsheng
amesema kuwa anaelewa fika umuhimu
wa benki
ya kilimo kwa maendeleo ya
kilimo cha
Balozi Xinsheng
pia ametumia mkutano huo kumweleza
Rais Kikwete kuhusu maendeleo yaliyopatikana katika maandalizi ya kuanzishwa
kwa Eneo
la Maendeleo ya Uchumi (Economic Development Area – EDA).
Pia amemweleza
Rais Kikwete kuhusu mipango ya kutekelezwa kwa awamu
nyingine ya usambazaji maji ya Mradi wa
Maji wa Chalinze.
Mradi huo ulijengwa kwa
msaada wa Serikali ya
Balozi Xinsheng
pia amemkabidhi Rais Kikwete ramani
ya Kituo cha Mikutano cha Julius Nyerere
Convention Centre (JNCC) uliopangwa kujenga mjini Dar es Salaam.
Ujenzi wa Kituo hicho utagharimiwa na Serikali ya
Imetolewa na:
Kurugenzi ya
Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR
ES SALAAM.
19 Januari,
2009