UNITED
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S
OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Na Mwandishi Maalum, Micheweni,
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete amesema kuwa hakuna Mtanzania
yoyote atakayekufa kwa njaa kutokana
na uhaba wa chakula unaotabiriwa
kutokea nchini kutokana na uhaba
wa mvua katika
mikoa kadhaa nchini.
Amesema kuwa Serikali
yake itachukua kila hatua inayostahili
kuhakikisha kuwa wananchi wanaendelea kupata chakula kama kawaida,
hata kama ukitokea uhaba wa chakula
Rais Kikwete ametoa
uhakikisho huo wa kupatikana
kwa chakula leo, Januari 20, 2009, katika mikutano yake mitatu tofauti
katika siku ya kwanza ya ziara
yake ya siku
sita kutembelea mikoa ya Tanzania Visiwani.
Rais Kikwete ameanzia
ziara yake Kisiwani
Katika tukio la kwanza la ziara hiyo, ikiwa
ni sehemu
ya ziara zake katika mikoa
yote ya
Akizungumza na
wananchi baada ya kuwa ameweka
jiwe la msingi katika ujenzi wa
Nyumba hiyo, Rais kikwete ameonya
kuwa
Mikoa ya Tanzania Bara ya Pwani na Kaskazini Mashariki pamoja na ile ya
Tanzania Visiwani haikupata
mvua ya vuli
mwishoni mwa mwaka uliopita. Mikoa ya Lindi
na Mtwara
ambayo hupata mvua ndefu nayo
haipati mvua ya kutosha wakati
kuna habari kuwa mvua katika
baadhi ya mikoa ya kati
ukiwamo
Rais amesema kuwa
hata kama
wajibu wake kuhakikisha
kuwa hakuna Mtanzania anayekufa kwa njaa.
“Tutakuwa na upungufu wa
chakula, lakini hakuna atakayekufa kwa njaa. Serikali zetu mbili zitashirikiana kuhakikisha kuwa kila Mtanzania
anapata chakula,” amesema Rais kwenye
mkutano huo.
Rais Kikwete pia
amewaambia wananchi wa Micheweni
kuwa kwa maana ya wananchi
kupatiwa huduma za jamii, Pemba iko mbele
Rais Kikwete ameeleza
ukweli huo baada ya Sheha
wa eneo
la Micheweni kuwa amethibitisha kuwa wananchi wa eneo
Baada ya kuwa
amesikia hayo, Rais amesema: “Kule Bara ndio kwanza tunajaribu kufikisha huduma za afya
karibu na
wananchi, ndio tunajenga shule za sekondari, tunaendelea
na ujenzi wa barabara za
lami ambazo nyie mnazo…”
Kuhusu malaria, Rais Kikwete amesema kuwa wakati Tanzania Bara inaendelea kuhangaika kupunguza ugonjwa huo, upande wa
Rais Kikwete
pia amekagua Bonde la Kilimo cha Umwagiliaji Maji katika Kijiji cha Saninga Tumbe, ambako amepata maelezo ya mradi. Kesho, Rais Kikwete anaendelea
na ziara
yake kwa kutembelea Mkoa wa Kusini