DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S OFFICE, THE
STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR
ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Nchi hizo mbili pia zimekubaliana kushirikiana katika kuboresha huduma nyingine za kiuchumi zinazomilikiwa na kuendeshwa kwa pamoja kati ya nchi hizo mbili.
Pia nchi hizo zimekubaliana kuhusu umuhimu wa kurahisisha taratibu za kuvusha malori kwenye mpaka wa pamoja wa Nakonde kati ya nchi hizo mbili.
Hayo yalikuwa baadhi ya masuala yaliyozungumzwa
na kukubaliwa
leo, Jumatatu, Februari 9, 2009, wakati wa mazungumzo rasmi
ya Kiserikali kati ya Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Rais
Rupiah Bwezani Banda wa
Rais
Banda amewasili nchini leo kwa ziara ya siku
mbili ya kikazi yenye madhumuni
ya kujitambulisha rasmi kufuatia kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa
nchi hiyo rafiki na jirani
ya
Mazungumzo hayo rasmi yaligusia maeneo kadhaa ikiwa ni pamoja na uhusiano kati ya nchi hizo mbili, masuala ya kikanda na majadiliano kuhusu jinsi tatizo kubwa ya kiuchumi duniani linavyoathiri chumi za nchi hizo mbili.
Juu ya uhusiano kati
ya
Marais hao wawili wamewaelekeza mawaziri wao kukaa chini na kutoa mapendekezo ya jinsi ya kumaliza matatizo yanayoikabili TAZARA.
Viongozi
hao wawili pia wamejadili huduma nyingine za kiuchumi zinazomilikiwa
na kuendeshwa
kwa pamoja na nchi hizo
mbili ikiwemo barabara kuu ya
kutoka Dar es Salaam hadi
Marais hao
vile vile wamejadili namna ya kurahisisha
uvukaji mpaka wa Nakonde
hasa kwa malori makubwa ya mizigo na
pia wamejadili na kukubaliana namna gani ya
kumaliza matatizo ya umeme ambao
Kuhusu masuala ya kanda,
viongozi hao wawili wameridhishwa na maendeleo
ambayo yamepatikana katika siku za
karibuni katika migogoro ya kisiasa
ya
Rais Kikwete na Rais Banda pia wamekubaliana pia kuhusu umuhimu wa kufufua Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano (JPC), ili iweze kutafuta namna ya kuongeza kasi ya ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
09 Februari, 2009