PRESS SECRETARY TO THE
PRESIDENT
Fax. No. 255-22 2113425
The State House,
Tel:
DAR ES SALAAM.
E-mail: press@ikulu.go.tz
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
leo 16 Oct. 2006 amepokea hati za utambulisho za mabalozi wanne
watakaowakilisha nchi zao hapa
Mabalozi hao ni Mabwana
Leandre Amuri Bagenwanubusa wa Burundi,
Boaz Kidiga Mbaya wa Kenya, Francesco Katania wa Italia na Makoto Ito wa Japan.
Mara baada ya kupokea hati
zao, Rais amefanya mazungumzo na mabalozi hao na kueleza azma yake ya
kushirikiana na nchi hizo katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kibiashara.
“Burundi
ni nchi jirani, ni lazima tuishi kwa pamoja kwa kushirikiana, napenda pia mjue
kuwa barabara, bandari na anga la Tanzania ni vyenu pia, tutahakikisha mnapata
fursa ya kuzitumia ili muwe na uhakika wa kuijenga Burundi” Rais amemweleza
Balozi Bagenwanubusa ambaye naye ameishukuru Tanzania kwa mchango wake mkubwa
katika kutatua mgogoro wa Burundi.
Amewataka
pia mabalozi wa Italia na Japan kudumisha ushirikiano baina ya nchi hizi na
kueleza kuwa
Amezitaka
nchi hizi kuendelea kuisaidia
“Nchi yetu bado inahitaji
misaada,
“Sekta
ya uwekezaji ndiyo pekee nionayo kuwa
Mwisho
Ikulu
16/10/2006