DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA KWA
VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Alhamisi, Mei 20, 2010, amekutana na
kufanya mazungumzo na Baroness Catherine Ashton, Waziri wa Mambo ya Nje wa
Umoja wa Ulaya (EU) na Makamu wa Rais wa Tume ya Ulaya.
Katika mkutano huo uliofanyika Ikulu,
Aidha, viongozi hao wawili wamejadiliana
kuhusu jinsi gani
Baroness Catherine Ashton ambaye aliwasili
nchini jana akitokea
Mkutano huo uliopangwa kuanza kesho,
Ijumaa, Mei 21, 2010, umeandaliwa na Serikali ya
Katika mkutano wake na Baroness Catherine
Ashton, Rais Kikwete amesema kuwa Serikali yake inafurahishwa na kuridhishwa na
uhusiano kati ya
EU imekuwa inasaidia maendeleo ya Tanzania
kupitia msaada wake katika Bajeti ya Tanzania ambako maeneo yanayolengwa ni
sekta za usafirishaji, kilimo, utawala bora, nishati, tabianchi, Mpango wa
Taifa wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umasikini wa MKUKUTA kwa upande wa Tanzania
Bara na MKUZA kwa upande wa Tanzania Visiwani.
EU pia imekuwa inatoa misaada yake kwa
taasisi na wabia wengine wa shughuli za maendeleo nchini wasiokuwa Serikali.
Imetolewa
na:
Kurugenzi
ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
20
Mei, 2010