DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S
OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA KWA VYOMBO
VYA HABARI
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete,
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, amesema kuwa ni dhamira
ya Serikali yake kuendelea kuongeza bajeti ya kupambana na
ukimwi nchini, ili kuiwezesha Serikali kuwa na
uwezo wa kutosha kuhudumia wahanga na waathirika wote wa ugonjwa huo.
Aidha, Rais Kikwete ameishukuru Serikali ya Marekani
kwa misaada
na juhudi zake kubwa kuisaidia
Rais Kikwete ameeleza msimamo huo wa Serikali
yake wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Mratibu wa
Kimataifa wa Serikali ya Marekani
wa Mapambano dhidi ya Ukimwi,
Mheshimiwa Balozi Dk. Eric Goosby, Ikulu, Dar es Salaam, leo, Jumatatu, Mei 17, 2010.
Rais Kikwete amemwambia Balozi Goosby kuwa Serikali
ya
“Kikwazo cha kuongeza bajeti ya kupambana
na ukimwi
siyo matokeo ya dhamira ya
kisiasa. Dhamira ya kisiasa ni kubwa
Naye Balozi Goosby amemhakikisha Rais Kikwete msimamo
wa Rais Barack
Obama wa Marekani na Waziri
wa Mambo ya Nje wa nchi
hiyo, Mama Hillary Clinton kwa kuendelea kuinga
mkono
“Nimekuja kuthibitisha dhamira ya Rais
Obama na
Waziri Clinton ya kuendelea kuunga mkono jitihada za
Balozi Goosby ambaye alifuatana na Balozi
wa Marekani katika
Mkutano huo umepangwa kumalizika
Ijumaa, Mei 21, 2010, umetanguliwa
na mikutano
mingi ya wataalam ambayo ilianza tokea Alhamisi
iliyopita, Mei 13, 2010.
Mkutano huo wa Arusha unawakutanisha kiasi cha maofisa 400 wa Serikali ya
Marekani ambao wanashiriki katika shughuli za kupambana
na ugonjwa wa ukimwi katika
nchi 31 duniani.
Balozi Goosby ambaye amekuwa katika shughuli za kupambana na ukimwi kwa miaka 25 sasa,
amemwambia Rais Kikwete: “Mkutano huu wa mwaka
unalenga kujadili, kutafakari na kutangaza
mafanikio ya mpango wa PEPFAR siyo tu katika
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
17 Mei, 2010