DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S OFFICE, THE
STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR
ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Mkuu wa Jeshi la
Ulinzi la Afrika Kusini (SANDF), Jenerali Godfrey Ngwenya ameishukuru
“
Jenerali Ngwenya
ametoa shukurani hizo kwa
Jenerali Ngwenya
amemwambia Rais Kikwete jinsi Afrika Kusini inavyothamini mchango wa
“Tunapokuja
“Tunashukuru na
kutathmini mchango wa
Naye Rais Kikwete
amemweleza Jenerali Ngwenya kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali kuhifadhi
historia ya ukombozi na vyama vya ukombozi kama ilivyotokea katika
“Shughuli zote za
vyama vya ukombozi Kusini mwa Afrika zilianzia pale Kongwa, kabla ya kusambaa
katika maeneo mengine ya nchi yetu…hii ni historia ya heshima
Ameongeza kuwa kama
inawezekana vyama vilivyopigania uhuru kutokea
Jenerali Ngwenya na
ujumbe wake aliwasili nchini jana, Jumatatu, Julai 13, 2009, kwa mwaliko wa
Jenerali Mwamunyange kwa ziara ambako atatembelea maeneo mbalimbali
yanayohusiana na historia ya ukombozi na yanayohusu uhusiano kati ya Tanzania
na Afrika Kusini katika nyanja ya ulinzi na usalama.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR
ES SALAAM.
14 Julai, 2009