DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S OFFICE, THE
STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR
ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
RAIS wa Jamhuri
ya Muungano wa
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi,
Philemon Luhanjo, leo, Julai 13, 2009, Ikulu, Dar es Salaam imewataja majaji hao kuwa
ni Bwana
Ferdinand Leons Katipwa Wambali, aliyekuwa Msajili wa Mahakama
ya Rufani; Bibi Eliamnani Godfrey Mbise, aliyekuwa Msajili Mahakama Kuu na Bibi
Sekela Cyril Moshi, aliyekuwa Mkurugenzi Mahakama za Wilaya hadi
Rufani.
Wengine ni Bibi Fatuma Hamisi Masengi,
aliyekuwa Mkurugenzi wa Mahakama za
Mwanzo, Bwana Sivangilwa Mwangesi, aliyekuwa Naibu Msajili Mwandamizi,
Mahakama ya Rufani; Bibi Pellagia
Barnabas Khaday, aliyekuwa Naibu Msajili wa
Mahakama ya Rufani na Bwana Moses Gunga Mzuna, aliyekuwa
Msajili Wilaya Mahakama Kuu, Iringa.
Taarifa hiyo iliwataja Majaji wengine wapya wa Mahakama
Kuu kuwa ni Bibi Hamisa Hamisi
Kalombola, aliyekuwa Msajili Wilaya Mahakama Kuu, Mbeya;
Bibi Fredrica William Mgaya, aliyekuwa Msajili Wilaya Mahakama Kuu, Mwanza
na Profesa Ibrahim Hamisi Juma aliyekuwa
Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha
Sheria.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
13 Julai, 2009