DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S OFFICE, THE
STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR
ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete
ameuomba Mfuko wa Maendeleo
wa
Rais amesema kuwa barabara
hiyo inayokadiriwa kuwa na kilomita 700 ni muhimu kwa maendeleo
ya kiuchumi ya
“Najua mnatusaidia katika miradi mingi,
ikiwamo ile mitatu ya maji
na tunashukuru
Rais Kikwete ametoa ombi hilo leo,
Jumatatu, Juni 22, 2009, alipokutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa
Mfuko wa Maendeleo wa Saudi Arabia ukiongozwa na Mkurugenzi
Mkuu wa Idara ya Ufundi ya mfuko
huo, Bwana Hassan M. Al-Attaas
Ikulu, Dar es Salaam.
Rais Kikwete ameusisitiza ujumbe huo kuwa
maeneo ya kipaumbele ya Serikali
yake yataendelea kuwa katika maeneo
ya elimu, miundombinu, maji na afya.
“Lakini ombi langu
kwenu ni
kushiriki katika miradi ya miundombinu.
Najua kuna baadhi wameanza kutusaidia katika barabara hii ya
Manyoni - Kigoma, lakini ningefurahi
Naye Bw. Attaas amemwambia
Rais Kikwete kuwa ziara yake
ni kufuatilia
utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa wakati wa ziara
ya Rais Kikwete
katika
Amesema kuwa Saudi Fund utahakikisha kuwa miradi yote
ambayo imekubaliwa kutekelezwa katika
Serikali ya Rais Kikwete
imo katika juhudi kubwa kutafuta
fedha za ujenzi wa
barabara zote kuu na kubwa
kama mojawapo ya njia rahisi
zaidi za kufungua zaidi uchumi wa
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
22 Juni, 2009