DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

 

 

Telephone: 255-22-2114512, 2116898

E-mail : press@ikulu.go.tz             

Fax: 255-22-2113425

 

 

PRESIDENT’S OFFICE,

      THE STATE HOUSE,

       P.O. BOX 9120,  

DAR ES SALAAM.

Tanzania.

 

 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

MHESHIMIWA RAIS KULIHUTUBIA TAIFA
 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kesho tarehe 31 Oktoba, 2008 atalihutubia Taifa kupitia Redio na Televisheni katika kutekeleza utaratibu wake wa kawaida wa kuzungumza na wananchi kila mwisho wa mwezi.
 
Katika hotuba yake hiyo, Mheshimiwa Rais atazungumzia masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya kijamii na kiuchumi kama yalivyojitokeza katika kipindi kilichopita hapa nchini na nje ya nchi.
 
 

 Imetolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais
 Ikulu,
 Dar-es-salaam,
 Tarehe 30 Oktoba, 2008