DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S
OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mheshimiwa Jakaya
Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Vifaa hivyo vyenye
thamani ya shilingi milioni 51 vimekabidhiwa kwa Mheshimiwa Rais katika hafla
fupi iliyofanyika Ikulu,
Vifaa hivyo ni
pamoja na baiskeli, pikipiki, redio, mipira, mabati, vyerehani, jozi za
kandambili, vyombo vya muziki, mashine za maji, televisheni, na jozi za sapatu.
Akikabidhi vifaa
hivyo, Balozi Xinsheng amesema kuwa vifaa hivyo vimetolewa kuendelea kuunga
mkono juhudi za maendeleo ya
Mheshimiwa Rais
amemshukuru Balozi huyo kwa misaada mbalimbali ambayo nchi ya
“Mmetusaidia kwa
mambo mengi yahusuyo shughuli za maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kiulinzi wa
nchi yetu. Tunakushukuru
Mheshimiwa Rais
ameelekeza Ofisi ya Rais, Ikulu ishirikiane na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa
Morogoro na Mkuu wa Wilaya ya Kilosa kupanga utaratibu wa kugawa vifaa hivyo.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR
ES SALAAM.
29 Machi, 2010