DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S
OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA KWA VYOMBO
VYA HABARI
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete,
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa
Watoto hao watatu – Omari Mrisho mwenye umri
wa miaka 13, Evarist Semeni mwenye umri
wa miaka 11 na Ezekiel George Setumbi, mwenye umri wa
miaka 13, walipoteza maisha baada ya
kuwa wamegongwa na gari katika
ajali iliyotokea usiku wa kuamkia
jana hiyo hiyo katika kijiji
hicho cha Msoga.
Mrisho alikuwa mwanafunzi wa
darasa la sita katika Shule ya
Msingi ya Msoga, Semeni alikuwa
mwanafunzi wa darasa la nne katika
Shule ya Msingi ya Msoga
vilevile wakati Setumbi alikuwa mwanafunzi wa darasa
la sita katika Shule ya Msingi
ya Mboga.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
28 Aprili, 2010