UNITED
DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S
OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA KWA VYOMBO
VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi
Mkuu wa Majeshi
ya Ulinzi na Usalama nchini,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Ijumaa, Julai
30, 2010, amekutana na kuzungumza na wazee
wakongwe wa vita nchini na wanachama
wa Tanzania Legion and Club.
Aidha, Rais Kikwete ambaye
ni Mlezi
wa
Katika mazungumzo hayo, wazee ambao ni wawakilishi wa wenzao kutoka
mikoa mbalimbali ya
Moja ya changamoto ambazo
wamemweleza Mheshimiwa Rais ni pamoja na wanachama
hao kutokulipwa mafao
Wanachama hao pia wamemweleza
Mheshimiwa Rais Kikwete jinsi wanachama
hao wanavyosumbuliwa katika kupata usajili
wa Bodi
Aidha, wazee hao wamemweleza
Rais Kikwete matatizo yanayoikabili klabu hiyo na wanachama wake katika jitihada zao za kuendeleza
miradi mbalimbali na pia wameomba
msaada wa Serikali katika kuwawezesha ili wafanikishe mkutano wao mkuu ambao
umekuwa ukiahirishwa kutokana na ukosefu
wa fedha.
Wazee hao ambao wana
umri wa kati
ya miaka sabini na miaka
112, pia wamemshukuru Rais Kikwete kwa
kupata muda wa kuwaalika na
kuzungumza nao katika kitendo ambacho wamekieleza kuwa ni cha kwanza kufanywa na Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania katika historia ya Tanzania Legion and Club.
Akizungumza na wazee
hao, Rais Kikwete amewapa ushauri wake kwa namna ya jinsi
ya kukabiliana na changamoto zinazoukabili
umoja wao na wanachama wake.
Kuhusu suala la mafao
Kuhusu mwelekeo ya baadaye
wa chama
hicho, Rais Kikwete amewashauri wanachama hao kujenga
mazingira ya kisheria na kitaasisi
ya kukiwezesha chama hicho kuendelea
kuwapo kwa miaka mingi ijayo
kwa sababu mfumo na muundo
wa sasa ni
wa hiari zaidi kuliko kisheria.
“Naamini katiba ya sasa
ya Tanzania Legion haikipi chama hiki uhai
wa kudumu
hata
“Moja ya njia za
kufanya hivyo ni kuibadilisha
Legion kuwa kampuni ambako watu wanaweza
kununua hisa wakiwamo watoto wetu, wajukuu zetu
na hata wanajeshi
wengine wa
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR
ES SALAAM.
30
Julai, 2010