DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S
OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA KWA VYOMBO
VYA HABARI
RAIS Barack Obama wa
Marekani amempongeza Rais Jakaya Mrisho
Kikwete kwa kufanikisha mchakato wa maridhiano ya
Rais Obama ametoa pongezi
hizo kwa
Rais Kikwete kupitia ujumbe maalum uliowasilishwa kwake leo, Jumanne,
Agosti 17, 2010, na Balozi wa Marekani
katika
Katika salamu hizo, Rais
Obama amemwambia Rais Kikwete: “Kwa niaba ya
wananchi wa Marekani, natoa salamu zangu za
pongezi kwako wewe (Rais Kikwete),
kwa viongozi wa Zanzibar, kwa wananchi wa Zanzibar, na kwa Watanzania
wote kwa kufanikisha kura ya maoni ya
Serikali ya Umoja ya Julai
31, 2010.”
“Nakumbuka majadiliano yetu kuhusu azma yako
ya kuendeleza maridhiano na
utawala wa sheria katika
“Ni jambo la kutia moyo kwamba
katika kipindi kifupi tu cha zaidi
kidogo tu ya mwaka mmoja,
uongozi wako, azma ya pamoja
ya Tume ya
Uchaguzi ya Zanzibar, wanachama wa taasisi
zisizokuwa za Kiserikali, jumuia ya dini, na
vyama vya siasa imefanikisha kupiga hatua kubwa
sana katika kuleta amani ya
kudumu iliyojidhihirisha katika kura ya
maoni ya asilimia theluthi mbili kuridhia kuundwa kwa Serikali
ya Umoja.”
Wakati walipokutana katika Ikulu ya Marekani
Mei 21, mwaka jana,
2009, Rais Kikwete alimwahidi Rais Obama kuwa uongozi
wa
Ameongeza Rais Obama katika
pongezi hizo kwa Rais
Kikwete: “Bado ipo kazi kubwa
ya kufanya kwa kadri Uchaguzi
Mkuu wa Oktoba
unavyokaribia, lakini nina imani kabisa,
kwa uongozi wako endelevu na
azma isiyoyumba ya wananchi wa
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR
ES SALAAM.
17
Agosti, 2010