UNITED
DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S OFFICE, THE
STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR
ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa
Katika mazungumzo hayo, Ikulu,
Rais Kikwete amemwelezea Mheshimiwa Sijaona changamoto kuu tatu za Balozi
wa
Changamoto ya pili, amesema
Mheshimiwa Rais, ni Balozi huyo
kujua kuwa Japan ni soko kubwa
la bidhaa mbalimbali kutoka nje ikiwamo
“Chukulia mfano wa
kahawa ya Kilimanjaro, ambayo imekuwa maarufu katika Japan kwa sababu ya
jitihada zilizofanywa na ubalozi wetu
kuitangaza kahawa hiyo katika soko
Mheshimiwa Rais amesema kuwa
changamoto ya tatu kwa
balozi huyo itakuwa ni kuongeza
jitihada za kuvutia watalii zaidi kutoka
Naye Balozi Mteule Sijaona
amemwambia Rais Kikwete: “Nakushukuru
Mama Sijaona aliteuliwa kuwa Balozi wa
Tanzania katika Japan mwishoni
mwa mwaka jana, wiki chache baada ya kuwa
amestaafu kutoka utumishi wa umma
wa miaka mingi, ambako pamoja
na nafasi nyingine, alishikilia nafasi ya Ukatibu
Mkuu wa wizara
mbalimbali.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
06 Machi, 2010