DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S OFFICE, THE
STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR
ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
RAIS Jakaya
Mrisho Kikwete anaondoka nchini leo (Jumamosi,
Septemba 20, 2008) kwenda
Rais amepangiwa
kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Jumanne ijayo, Septemba 23, 2008 katika nafasi yake pia
Mbali na kuhutubia Baraza Kuu, Rais
Kikwete amepangiwa kuhudhuria mikutano mingine muhimu kuanzia ule ambao
utaangalia Mahitaji ya Maendeleo ya
Afrika. Mkutano huo, utajadili ahadi za nchi
tajiri kwa
Afrika na Maendeleo ya Bara
Rais pia atahutubia kikao cha ufunguzi cha viongozi ambao watajadili maendeleo ya Malengo ya
Maendeleo ya Milenia (MDG’s). Baada ya
kuwa amehutubia kikao hicho, Rais
atashiriki katika mijadala kuhusu afya ya Mama na Mtoto, na pia mjadala
kuhusu ugonjwa wa Malaria, masuala yote mawili yakiwa
sehemu muhimu ya MDG’s.
Ijumaa, Septemba
26, Rais atakwenda mjini
Mbali na mikutano ambayo amepangiwa kuhutubia ama kushiriki,
Rais Kikwete atakutana na kufanya
mazungumzo na viongozi wengi wa shughuli za
kisiasa, kibiashara na kiuchumi duniani
na katika Marekani.
Miongoni mwa viongozi ambao Rais Kikwete atakutana
nao na kufanya
mazungumzo nao ni pamoja na
Rais wa Iran, Mheshimiwa Ahmedinajad; Katibu Mkuu wa
Baraza la Umoja wa Ulaya, Mheshimiwa
Javier Solana; na mfanyabiashara
maarufu duniani wa shughuli za
kompyuta na teknolojia ya mawasiliano,
Bill Gates.
Rais Kikwete pia atakutana na Waziri Mkuu wa
Rais Kikwete pia atafanya kikao
cha pamoja kati yake, Katibu Mkuu
wa UN, Ban Ki Moon na Makamu
wa Rais wa
Wakati wa ziara yake ya kikazi
ya siku mbili
katika
Kikao hicho kitaangalia jinsi gani ya kuharakisha
zoezi la kupeleka askari wa
kulinda amani wa UN na AU katika
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR
ES SALAAM.
20
Septemba, 2008