UNITED
DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S OFFICE, THE
STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR
ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemwambia Waziri Mkuu wa Mozambique, Mheshimiwa Aires Bonifacio Baptista Ali kuwa anakubaliana na
pendekezo la Rais wa Mozambique, Mheshimiwa Armando
Guebuza la kuzindua daraja hilo Mei 12, mwaka huu.
Rais Kikwete alikuwa anakutana na
kuzungumza na Mheshimiwa Ali wakati Waziri Mkuu huyo
mpya wa
Mheshimiwa Ali yuko nchini kwa
ziara ya kwanza nje ya Mozambique tokea alipoteuliwa kuwa Waziri Mkuu
wa Mozambique Januari 18, mwaka huu, wakati
Rais Guebuza alipotangaza Baraza la Mawaziri jipya kufuatia ushindi mkubwa wa chama
chake cha Frelimo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka
jana.
Kabla ya kuteuliwa kuwa
Waziri Mkuu, kushika nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Mheshimiwa
Luisa Diogo, anayebakia bungeni lakini bila kuwa waziri,
Mheshimiwa Ali alikuwa Waziri wa Elimu.
Daraja la Umoja lilianza kubuniwa na
kuzungumzwa na nchi hizo mbili
mwishoni mwa miaka ya 1970, kufuatia uhuru wa
Daraja
Wakati wa mazungumzo
hayo, Rais Kikwete pia amesema
kuwa amefurahishwa na makubaliano kati ya
Makubaliano hayo yamefikiwa mapema leo wakati
Mheshimiwa Ali alipokutana na kufanya mazungumzo
rasmi na mwenyeji wake, Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo Pinda, kwenye siku ya
kwanza ya ziara hiyo ya siku
tatu.
Aidha, Rais Kikwete amempongeza
Mheshimiwa Ali kwa
kuteuliwa kwake kuwa Waziri Mkuu
katika Serikali ya
“Tumekuwa marafiki kwa miaka mingi,
tumekuwa ndugu kwa muda mrefu
na tutaendelea kuwa hivyo. Na
zipo sababu za hali hiyo.
“ Pili, tulipigana pamoja katika Vita vya Ukombozi wa
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
06 Machi, 2010