DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S OFFICE, THE
STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR
ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete,
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa
Aidha, Rais Kikwete na ujumbe wake ambao ni pamoja
na Mama Salma Kikwete, utadhuhuria sherehe za miaka
20 tokea uhuru wa
Mheshimiwa Pohamba na
chama chake tawala cha SWAPO alishinda Urais wa
Huo ulikuwa uchaguzi mkuu wa nne tokea
Rais Kikwete atakuwa miongoni mwa viongozi
wengine kutoka nchi wanachama cha Jumuia ya Maendeleo
ya Kusini mwa Afrika (SADC) walioalikwa kushiriki katika sherehe hizo wakiwamo Rais
Bingu Mutharika wa Malawi, Rais Jacob Zuma wa Afrika
Kusini, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, Rais Jose Eduardo Do
Santos wa Angola na Rais Rupiah Banda wa Zambia.
Serikali ya
Miongoni mwa Watanzania hao ni Rais
Mstaafu Benjamin Mkapa, aliyekuwa Waziri Mkuu na Katibu
Mkuu wa zamani
wa Umoja wa Afrika (OAU) Mheshimiwa Salim Ahmed Salim, aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Kamati ya
Ukombozi ya OAU, Brigedia (mstaafu) Hashim Mbita na
Mama Maria Nyerere, Mke wa Baba wa Taifa,
Hayati Mwalimu Julius Nyerere.
Mheshimiwa Rais Kikwete na ujumbe wake anatarajiwa kurejea nchini keshokutwa, Jumatatu, Machi 22, 2010.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
20 Machi, 2010