DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA KWA
VYOMBO VYA HABARI
Mheshimiwa
Robert Mugabe, Rais wa
Kwenye Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu
Julius Kambarage Nyerere, Rais Mugabe amelakiwa na Waziri wa
Habari, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa
George Mkuchika kwa niaba ya Rais
Kikwete.
Mara baada ya kuwasili Ikulu,
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES
SALAAM.
03
Mei, 2010