DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S OFFICE, THE
STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR
ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa
Taarifa iliyotolewa leo,
Jumatano, Julai 15, 2009 na Katibu Mkuu
Ikulu, Ndugu Michael Mwanda, kwa niaba
ya Katibu Mkuu Kiongozi, inasema kuwa uteuzi
huo ulianzia juzi, Jumatatu, Julai 13, 2009.
Taarifa hiyo inasema kuwa
Bi Zahra Nuru anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Andrew M. Daraja ambaye alihitimisha mkataba wake wa utumishi wa umma.
Bi. Zahra Nuru amepata kuajiriwa
na Umoja
wa Mataifa. Kabla ya kuhitimisha
mkataba wake na
Umoja wa mataifa, Ndugu Zahra Nuru alikuwa Mtaalam
na Mshauri Mwandamizi wa Katibu
Mkuu Msaidizi na Mshauri Maalum
wa Umoja wa Mataifa kuhusu
Afrika (Consultant
and Senior Adviser to the Under Secretary-General and UN Special Adviser on
Africa).
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
15 Julai, 2009