DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S OFFICE, THE
STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR
ES SALAAM. Tanzania. |
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete amemtumia salamu za pongezi Prof. Anna Tibaijuka, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika
la Makazi la Umoja wa Mataifa, United Nations Human
Settlements Programme (HABITAT) kwa
kutunukiwa tuzo ya Mazingira ya
Rais Kikwete
amemweleza Prof Tibaijuka kuwa tuzo hii
inaonesha kuwa dunia nzima inatambua
uongozi wake na
mafanikio katika kuendeleza makazi ya kudumu duniani.
“Sifikiriii mtu mwingine ambaye anastahili tuzo hii yenye fahari
kubwa, ni wazi kwamba, jopo
lililokuchagua limechagua vema” amesema na kumuelezea kuwa tuzo hii
imeleta fahari kubwa si kwa
kwake tu ila kwa taifa
zima la
“Kila
Mtanzania anajivunia mafanikio yako na wanaungana nami
kukutumia salaam hizi za pongezi, kwa
mara ingine umetufanya sisi sote tutembea kifua
mbele, nakutakia afya njema na
mafanikio lukuki katika yote unayotarajia
kufanya”.
Rais amemwambia Prof. Tibaijuka.
Prof
Tibaijuka amepata Tuzo hiyo kwa pamoja na wenzie wawili
ambao ni Bw. Enrique Penalosa wa
Mwisho
Imetolewa na:
Premi Kibanga,
Mwandishi wa
Rais, Msaidizi,
Ikulu-Dar-es-Salaam
16
Julai, 2009