UNITED
DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA KWA VYOMBO
VYA HABARI
Mheshimiwa
Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Mkutano
huo, uliofanyika Ikulu,
Katika
mazungumzo hayo, Mheshimiwa Rais Kikwete na Waziri Westerwelle wamezungumzia
masuala mbalimbali ya kimataifa, masuala yanayohusu Afrika na yale yanahusu
ushirikiano kati ya
Rais
Kikwete ametumia nafasi hiyo kumwelezea Dk. Westerwelle, kwa undani, kuhusu
hali ya kisiasa na usalama katika eneo la Nchi za Maziwa Makuu na eneo la nchi
zinazounda Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC).
Rais
Kikwete pia amemwelezea mgeni huyo kuhusu hali ya kisiasa katika
Viongozi
hao wawili pia wamejadili kwa kina hali ya
Waziri
Westerwelle amemwomba Mheshimiwa Rais Kikwete msaada wa
Rais
Kikwete pia amemhakikishia Waziri huyo kuwa
Rais
Kikwete ameishukuru Ujerumani kwa misaada yake katika ujenzi wa Makao Makuu ya
EAC, na kwa misaada yake kwa
Imetolewa
na:
Kurugenzi
ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
08
Aprili, 2010