DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S OFFICE, THE
STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR
ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Na Mwandishi Maalum,
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete amelitaka Taifa la
Rais amesema kuwa mauaji yanayosababishwa na mashambulizi hayo yanatisha na kuwa lazima pande hizo mbili zifanye kila linalowezekana kukomesha mashambulizi hayo.
“Tafuteni njia zote zinazowezekana na za haraka
kukomesha mara moja mashambulizi haya. Mauaji haya yanatisha,” ndiyo ulikuwa ujumbe
thabiti na
mfupi wa Rais Kikwete wakati
alipokutana na mabalozi wa
Rais Kikwete amezungumza na pande zote mbili akitaka zimalize zahama hiyo ambayo mpaka sasa imekwishakusababisha vifo vya karibu watu 600, wengi wao wakiwa Wapalestina kutokana na mashambulizi kutoka kila upande kwenda mwingine.
Rais Kikwete amemwambia
balozi mpya wa Palestina
katika
“Haya mashambulizi ya Hamas, yanatoa kisingizo kwa
Rais ambaye alikuwa
anapokea hati za utambulisho wa balozi
huyo, amemweleza balozi kuwa amemwandikia
Rais Mahmoud Abbas wa Palestina
barua ya kumliwaza kuhusu mauaji hayo katika
Eneo la
Rais pia amemwambia
Balozi huyo kuwa msimamo wa miaka mingi wa
Katika mazungumzo yake na Balozi wa
“Maoni yetu ni kwamba lazima
mtafute njia za haraka kukomesha
jambo
“Tayari mashambulizi
yenu yameua zaidi ya Wapalestina
zaidi ya 500. Mtapoteza heshima
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
08 Januari, 2009