UNITED
DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S
OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA KWA VYOMBO
VYA HABARI
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa
Bwana Addah Sykes
alifariki dunia Ijumaa, Julai 2, 2010, kwenye Hospitali ya Kijitonyama,
Katika salamu zake kwa wanafamilia hao, Rais Kikwete
amesema kuwa ameguswa
Ameongeza Rais Kikwete katika
salamu zake za rambirambi: “Msiba wenu ni
msiba wetu. Namwomba Mwenyezi Mungu awapeni nguvu
na subira
ili muweze kuvuka katika kipindi
hiki kigumu cha majonzi makubwa ya kupotelewa na
mpendwa wenu.”
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR
ES SALAAM.
05
Julai, 2010