DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S
OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
SALAMU ZA
RAMBIRAMBI ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa
“Kutokana na ajali
hiyo ya kusikitisha
ambayo imetupotezea maisha ya vijana
waliokuwa wanahitajika sana kwa maendeleo
ya Taifa letu, ninakutumia salamu za rambirambi
wewe Mkuu wa Mkoa wa
Mwanza, na kupitia kwako natuma
salamu za rambirambi na pole nyingi kwa familia
za wafiwa”, amesema Rais Kikwete katika
salamu zake.
Rais Kikwete amesema
anawahakikishia wafiwa wote kuwa yupo
pamoja nao katika msiba huo
mkubwa, kwa
kutambua kwamba wapo katika majonzi
makubwa na anamuomba Mwenyezi Mungu aziweke mahali
pema peponi roho za marehemu
wote.
Hata hivyo amewaomba
wawe na
moyo wa uvumilivu
na ujasiri katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo ya vijana
wao.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
05 Agosti, 2010