DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S OFFICE, THE
STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR
ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA KWA
VYOMBO VYA HABARI
Suala
la msingi katika mgogoro wa Darfur
nchini Sudan ni kuhakikisha usalama wa raia na mali zao kwanza ili kuweza
kufanikisha juhudi zozote za kuleta amani na haki kwa wananchi wa jimbo hilo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete amesema hayo leo
katika Ikulu ya Dar-Es-Salaam alipokutana na Dr. Mustapha Osman Ismail, Mwakilishi
maalum wa Rais wa
“Usalama
wa Raia ndiyo jambo la msingi ili kuwawezesha watu kupata huduma na mahitaji
Rais
pia ameongeza kuwa katika kufikia amani ya kweli ni jambo lililo wazi pia
kwamba ushirikiano na ushirikishwaji wa serikali ya
Akielezea
maendeleo ya juhudi mbalimbali zinazofanywa na jumuiya ya Kimataifa kutafuta
amani ya kudumu katika jimbo la Darfur na Sudan kwa ujumla, Dr. Ismail amesema
kikao cha usalama kinachotarajiwa kufanyika Abuja, Nigeria mwishoni mwa mwezi
huu kitapokea na kupata taarifa mbalimbali za mapendekezo ya kutafuta amani na
maridhiano katika jimbo hilo, ikiwa ni pamoja na ripoti ya mjumbe maalum wa
Umoja wa Afrika, ambaye ni Rais wa Zamani wa Afrika ya Kusini Bw. Thabo Mbeki
kuwasilisha ripoti ya kamati yake.
‘Tunaatarajia
kuwa sasa tutajikita katika kutatua mgogoro huu wa
Dr.
Ismail ameishukuru
Dr.
Ismail pia ametumia nafasi hiyo kumueleza Rais Kikwete kuwa Serikali ya
Mwisho
Imetolewa
na Premi Kibanga,
Mwandishi
wa Habari wa Rais, Msaidizi
Ikulu-Dsm
20
Oktoba, 2009