DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED
|
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
|
|
PRESIDENT’S OFFICE, THE
STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR
ES SALAAM. Tanzania. |
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo, Ijumaa, Juni
5, 2009 amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi
wanne ambao wataziwakilisha nchi zao katika Tanzania, na baadaye kufanya
mazungumzo na mabalozi hao.
Katika shughuli hiyo iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam, Rais Kikwete amepokea
hati za utambulisho
kutoka kwa Balozi John Mutinda Mutiso wa Kenya, Balozi Juan Manuel Gonzalez De Linaries
Palou wa Hispania, Balozi Yudhistiranto Sungadi wa Indonesia na Balozi Kadri
Sander Gurbuz wa Uturuki.
Akizungumza na Balozi Mutiso baada ya
kupokea hati zake za utambulisho,
Rais Kikwete amesifia uhusiano mzuri ulioko kati
ya
Naye Balozi Mutiso amempongeza Rais Kikwete kwa kukamilishwa kwa mradi mkubwa
wa maji ya
Ziwa
Balozi huyo pia amempongeza Rais Kikwete kuhusu
uzinduzi wa
kivuko kikubwa kuliko vyote nchini
cha Mv Magogoni kilichozinduliwa jana, Alhamisi, Juni 4, 2009 na Rais Kikwete
mjini
Balozi Mutiso amesema kuwa kwa miaka saba
Mwakilishi huyo wa
Katika mazungumzo
na Balozi
Juan Manuel, Rais Kikwete ameishukuru Serikali ya Hispania kwa msaada wake katika maendeleo ya kusambaza
umeme vijijini katika
Rais Kikwete
vile vile ameishukuru Serikali ya
Naye Balozi Gurbuz wa
Uturuki amemwambia Rais Kikwete kuwa
nchi yake inataka kuimarisha uhusiano wake na
“Tunataka kuongeza uhusiano wetu wa
kiuchumi.
Tunataka makampuni ya Uturuki
kuja kuwekeza katika
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR
ES SALAAM.
05
Juni, 2009