Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Profiles Cheo

Hon. Kassim Majaliwa Majaliwa.

Utumishi:
2015 - 2020 (Waziri Mkuu)

Taarifa za Kina
Tarehe ya Kuzaliwa: 1960-12-22
Mahali pa Kuzaliwa: Ruangwa-Lindi.

Ndoa: AmeoaMaelezo


Mhe.Kassim Majaliwa Majaliwa ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Alizaliwa Desemba 22, 1960 Wilayani Ruangwa mkoa wa Lindi. 

Mhe. Majaliwa alifanya kazi ya ualimu mnamo mwaka 1984-1986, na baadaye alipata kuwa Katibu Wilaya mnamo mwaka 2001 na kisha kuwa Katibu Mkoa mwaka 2001-2006.Alikuwa Mbunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi mwaka 2010-2014.

Aliwahi kufanya kazi kama Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) katika Serikali ya Awamu ya Nne iliyomaliza muda wake Novemba 5, 2015.Mhe. Majaliwa aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu Novemba 19, 2015 na kuapishwa rasmi Novemba 20, 2015 na Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli.

 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page