Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Serikali Taratibu na Kanuni

Taratibu na Kanuni ni masharti muhimu kisheria yaliyotolewa na Sheria za Bunge kuwa ni utaratibu wa utekelezaji muhimu wa Sheria yenyewe.  Zinaweza kutumiwa kwenye Serikali  Kuu au Serikali ya Mitaa, mtu mmoja mmoja au kikundi kingine  chochote.  Taratibu na Kanuni zinatofautiana na maagizo ambayo ni matangazo rasmi ya utaratibu wa kiutawala kuhusu matukio mahsusi yanayohusisha Mamlaka Maalum na watu.  Taratibu na Kanuni kwa kawaida hutekelezwa na Mamlaka za usimamizi zilizoanzishwa kwa madhumuni au Mamlaka nyingine yoyote iliyoidhinishwa kwa mujibu wa Sheria.  Katika Sehemu hii utapata Taratibu na Kanuni mbalimbali.

Chagua kutoka kwenye orodha, kutafuta  Taratibu na Kanuni.


Kutoka Mwaka: Mpaka
Maneno Muhimu:

No Taratibu na Kanuni Mwaka Faili / Anuani Miliki
221 Kanuni (za Muda) za Petroli (kwa Kiingereza) 2000 655.8 KB
222 Kanuni za Utoaji Leseni za Mawasilano ya Kielektroni na Posta (kwa Kiingereza) 2011 148.9 KB
223 Ajira za Wataalamu wa Kitanzania Mashirika ya Nje 2006 24.0 KB
224 Kanuni za Haki ya Uanzishaji wa Soko la Pamoja (kwa Kiingereza) 2009 204.4 KB
225 Kanuni za Ushindani wa Mawasiliano ya Kielektroni na Posta (kwa Kiingereza) 2011 73.5 KB
226 Kanuni za Gharama za Mawasiliano ya Kielektroni na Posta (kwa Kiingereza) 2011 31.3 KB
227 Sheria ya Umeme (Sehemu za Burudani) (kwa Kiingereza) 1954 495.6 KB
228 Sheria ya Umeme (Ukodishaji wa Mita) (kwa Kiingereza) 1957 14.3 KB
229 Kanuni za EPC CERT (kwa Kiingereza) 2011 37.3 KB
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-01 13:47:40
Kufaa
5.0
2 Jumla
Inafaa Sana 2
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
4.5
2 Jumla
Rahisi Sana 1
Rahisi Kiasi 1
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page