Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiElimuUkaguzi wa Shule

Udhibiti wa ubora wa elimu ya msingi ni jukumu kuu lililopewa Idara ya Ukaguzi wa Shule kupitia Sheria ya Elimu ya mwaka 1978 fungu la 25 (sera ya 353). Kuna kanda 11 na ofisi ya ukaguzi za Wilaya 133 zenye wakaguzi wa shule 1,185.  Miongoni mwao wakaguzi 967 ni kwa shule za msingi wakati 218 ni kwa shule za Sekondari na Vyuo vya Ualimu. Kwa maelezo ya kina kuhusu divisheni ya ukaguzi, fungua Tovuti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-24 17:41:30
Kufaa
5.0
1 Jumla
Inafaa Sana 1
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
4.5
2 Jumla
Rahisi Sana 1
Rahisi Kiasi 1
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page