Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiElimuElimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi

Idara ya Elimu ya Mafunzo ya Ufundi Stadi na Ufundi Sanifu (TVET) ina wajibu wa kupanga, kuendeleza, kuendesha, kuratibu, kutathmini na kusimamia sekta ndogo ya Elimu ya Ufundi ili kushughulikia mahitaji ya uchumi-jamii ya Watanzania pia kusaidia na kuhimiza maendeleo ya rasilimali watu kwa utoaji wa huduma muhimu za sekta ndogo kwa jamii, serikali na sekta binafsi. Kwa maelezo yakina kuhusu TVET, tembelea tovuti ya Ministry of Education and Vocational Training.

TVET Development Program
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-25 07:33:32
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page