Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiFedha

Shughuli za Sekta ya Fedha nchini Tanzania ina Taasisi za benki na zisizo za benki zinazofanyakazi kwa kuongozwa na Sheria ya Shughuli za Benki na Taasisi za Fedha ya mwaka 1991.  Taasisi za shughuli za Benki zinafuatiliwa kwa karibu sana na kudhibitiwa na Benki Kuu ya Tanzania Sekta hii inamilikiwa kwa kiasi kikubwa na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi.  Kwa mujibu wa Sheria hiyo, benki zina uhuru wa kuamua kiwango cha riba kulingana na hali ya soko.  Sehemu hii inakueleza kwa kina kuhusu huduma za fedha zinazojumuisha usajili wa Benki, Bima, Masoko ya Fedha na Taasisi za Mafunzo.

Kwa sasa kuna mwenendo mzuri wa kuwakopesha Wajasiriamali wadogo na wa kati (SME) na kuonyesha imani kubwa katika ukuaji wao miongoni mwa Taasisi za Fedha na kwa jumla, katika uchumi pia unaonyesha ongezeko kubwa la biashara.Hivi sasa Serikali inatunga Sheria mpya zinazotarajiwa kuzidisha shughuli za ukopeshaji.  Kwa maelezo zaidi, tembelea Tovuti za Wizara ya Fedha na Benki Kuu ya Tanzania.

BOT DSE
NBS
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-26 09:07:04
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page