Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiArdhi

Ardhi ni bidhaa ya kuchumi inayoongezeka thamani. Inatoa mchango mkubwa katika mchakato wa kupunguza umaskini kupitia kubuni njia za kuongeza kipato na hivyo kuinua ustawi wa watu. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imepewa mamlaka ya kusimamia ardhi na makazi nchini Tanzania. Kwa hiyo inatoa huduma mbalimbali zinazohusiana na mtu mmoja mmoja na taasisi nchini. Kitengo cha usimamizi wa Ardhi katika Wizara ya ardhi kilianzishwa ili kutoa huduma kuhusu masuala ya uendelezaji wa ardhi. Kitengo hicho kina sehemu tatu na ofisi za usimamizi wa Ardhi za Kanda saba. Mkuu wa Kitengo hiki ni Kamishna wa Ardhi na husaidiwa na makamishana Wasaidizi kwa kila sehemu na ofisi ya kanda. Kazi za jumla za idara hii ni pamoja na; Ugawaji wa ardhi, utayarishaji wa nyaraka zinazohusu Haki ya kumiliko, utatuzi wa migogoro ya Ardhi, kusimamia masuala yote ya usimamizi wa ardhi na kumshauri Waziri kuhusu masuala hayo.

Sehemu ya sheria ni miongoni mwa sehemu za Idara ya Huduma za Uendelezaji Ardhi. Sehemu hii inasimamiwa na Kamishna Msaidizi. Kazi za sehemu hii ni pamoja na kushauri kuhusu  masuala yote ya kisheria yanayojitokeza katika idara yakiwemo; malalamilo na matayarisho ya Tanzania inaonyesha mipaka ya kimataifa p pamoja na mipaka ya kiutawala ya wilaya na mikoa. Ramani hii ya hivi karibuni zaidi ili yotolewa mwaka 2012 ina wilaya na mikoa mipya wananchi wanashauriwa kutumia ramani hii rasmi kwenye kumbukumbu zao kila inapohitajika. Kutumia ramani ya utawala isiyorasmi ni ukiukaji wa sheria. Utapata taarifa kuhusu huduma za sekta ya Ardhi kwenye sehemu hii. Kwa maelezo zaidi tembelea http://lands.go.tz/  

Kodi ya Kiwanja Mradi wa Umiliki wa Ardhi
Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2018-07-24 10:59:32
Kufaa
1.0
1 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 1
Urahisi wa kutumia
1.0
1 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 1

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page