Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiUchukuziUsafiri wa Reli

Shughuli zinazoendelea kuhusu usafiri Dar es Salaam kwa treni ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) na Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) zimetoa mchango mkubwa katika kupunguza msongamano wa usafiri jijini Dar es Salaam. Katika jitihada za kupunguza zaidi msongamano, Wizara inakusudia kufanya utafiti wa kubainisha njia zinazoweza kuunganisha na katikati ya jiji na miji mingine na maeneo mengine ya kituo cha basi ndani ya mkoa. Utafiti huo unatarajia kuanza katika mwaka wa fesha 2013/2014. Ufanisi gharama nafuu na mfumo wa usafiri salama, unakwenda pamoja na kutandika upya ratili 80 kwa yadi (89 km) na ununuzi wa mataruma katika kilomita 70 zaidi itasaidia kuboresha usafirishaji abiria na mizigo ya TRL hadi tani 500,000. Miundo mbinu yote ya TRL inamilikiwa na RAHCO. Kwa maelezo zaidi, tembelea tovuti ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) na ya Reli Assets Holding Company.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-07 07:33:32
Kufaa
1.0
1 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 1
Urahisi wa kutumia
1.0
1 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 1

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page