Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiUchukuzi

Sekta ya Uchukuzi nchini Tanzania imesaidia sana kuunganisha ushindani wa kuimarisha soko, kuongeza upataji wa mbinu za kilimo, kukuza biashara, utalii na uwekezaji wa kigeni, na imechangia katika mapato ya Serikali.  Mafanikio hayo yamewezekana kwa utekelezaji wa program maboresho mengi ya maendeleo ya uchukuzi na matengenezo kwa lengo la kuzidisha upatikanaji wa mfumo wa uchukuzi wenye ufanisi, gharama nafuu na salama nchini.  Kumekuwa na jitihada  endelevu kwa upande wa Serikali ya Tanzania kujenga miundombinu muhimu ya uchukuzi na huduma za kuboresha upataji wa kazi, elimu na vituo vya kutolea huduma za afya, aidha kuwezesha biashara ya ndani na ya Kimataifa pamoja na kuimarisha utangamano ukanda watu na kuvutia vitega uchumi vya kigeni.  Hali hii ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii inadhihirisha kuwa usafirishaji  ni muhimu  kwa maendeleo ya Tanzania kwa jumla.  Kusema kweli, ni sekta ya miundombinu muhimu inayokuwa chachu ya ukuaji wa uchumi, jamii na kuchangia kaisi kikubwa cha uwekezaji wa Serikali.  Katika sehemu hii utapata taarifa kuhusu huduma za usafiri wa Ndege, Reli, Nchi kavu na Baharini.  Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya Wizara ya Uchukuzi.

TAZARA TRL
TAA TCAA
ATCL SUMATRA
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-11 07:33:32
Kufaa
4.0
1 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 1
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page