Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiUchukuziHuduma za Usafiri wa Nchi Kavu na Majini

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeanzisha mamlaka ya usimamizi wa usafiri wa nchi kavu na majini. (SUMATRA) ambayo ni wakala ya usimamizi wa sekta mbamlimbali kwa mujibu wa sheria ya Bunge (na. 9 ya 2001) kusimamia huduma za usafiri wa Reli, Barabara na Majini.

Sheria ya SUMATRA  ilianza kutumika tarehe 15 Agosti 2004 kwa mujibu wa tangazo la serikali Na. 297 lililochapishwa 20 Agosti 2004 kwa dira ya kuwa chombo cha usimamizi wa usafiri wa nchi kavu na majini kinachoongoza katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.

Dhamira ya SUMATRA ni kusimamia sekta ndogo za usafiri wa nchi kavu na majini kwa ajili ya huduma za usafirishaji zilizo salama na zinazojali mazingira.

Sehemu hii  inatoa taarifa za kina kuhusu sekta za mamlaka hii zinazojumuisha usafiri wa reli; huduma za bandari na meli; ulinzi na usalama majini; usafiri wa barabara na usimamizi wake kiuchumi. Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya Surface and Marine Transport Regulatory Authority.

Usafiri wa Reli Usafiri wa Barabara
Huduma za Bandari Ulinzi na Usalama Majini
Udhibiti Uchumi
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-15 09:07:04
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page