Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjeHati na Vibali vya Ukazi

Mgeni yeyote anayekusudia kuishi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya uwekezaji, ajira au shughuli yoyote halali atapewa kibali cha mkazi. Utoaji wa kibali cha mkazi unasimamiwa na Sheria ya Uhamiaji Na. 7 ya mwaka 1995 na Kanuni zake za mwaka 1997. Zaidi ya Hati ya mkazi, mgeni anayekusudia kuingia nchini na kuishi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaweza kupewa Pasi ya Kuingia kwa mujibu wa masharti yaliyomo kwenye Kanuni za Uhamiaji za mwaka 1997.

Aina za Vibali Aina ya Pasi
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-16 11:27:22
Kufaa
5.0
1 Jumla
Inafaa Sana 1
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page