Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuPichaVivutio vya Utalii na Maeneo ya Urithi wa Utamaduni

Maeneo ya vitutio vya Utalii nchini Tanzania yanatofautiana kuanzia milima mirefu, fukwe tulivu, misitu minene, hifadhi za taifa na hifadhi za ndege, visiwa na maeneo ya kale na ya kihistoria. Watu wanaopenda safari za kuvinjari wanaweza pia kufurahia matembezi ya kitalii kwenye misitu mbalimbali ya Tanzania. Pia watalii hupanga safari za mapumziko Tanzania kwa sababu ya amani, utulivu na ukimya wa nchi.

Picha
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-16 17:41:30
Kufaa
4.4
5 Jumla
Inafaa Sana 3
Inafaa Kiasi 1
Sina Hakika 1
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
4.0
3 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 3
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page