Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiKilimoHuduma za Afya ya Mimea

Huduma za ugani ni muhimu sana katika kusaidia kupunguza umaskini vijijini na ushindani wa soko kwa ajili ya kilimo cha biashara katika soko la ndani na soko la kimataifa. Huwawezesha wakulima kuongeza mazao na tija kwa upataji taarifa ya huduma za masoko na huduma nyingine za msaada muhimu kwa maendeleo ya kilimo. Mageuzi ya huduma za ugani za kilimo ni muhimu ili kutoa zana sahihi, maarifa na stadi pamoja na kuhakikisha kuwa wakulima wanafuata Kanuni Bora za Kilimo. Mahitaji ya Taifa ya maofisa ugani ni 15,082 ili waweze kuhudumia wakulima katika kila kata na kijiji kwa kuleta ufanisi na tija. Mpaka sasa wapo maofisa ugani 7,974 ambao ni takribani 50% ya jumla ya mahitaji. Juhudi ziko mbioni kuwafunza na kuwapangia wafanyakazi wanaohitajika.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-17 18:28:16
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page